Skip to main content
Skip to main content

Kenya yaungana na ulimwengu kwenye uhamasishaji kuhusu dhuluma za kijinsia wa siku 16

  • | Citizen TV
    243 views
    Duration: 1:45
    Imebanika kuwa visa vya dhulma za kijinsia kaunti ya Taita Taveta vimekuwa vikiongezeka katika siku za hivi karibuni hali ambayo imeichochea serikali ya kaunti pamoja na mashirika ya kijamii kuanza mchakato wa kukabiliana na ongezeko la visa hivyo.