- 1,740 viewsDuration: 3:35KUKABILIANA NA UFISADI Kenya inajiweka katika nafasi ya kuwa kitovu cha vita dhidi ya ufisadi barani Afrika huku kituo cha utafiti na masomo kuhusu jinsi ya kupambana na ufisadi kikizinduliwa jijini Nairobi. Akizungumza katika mkutano wa nane wa kila mwaka wa vyama vya Afrika vya halmashauri ya kupambana na ufisadi, mwanasheria mkuu Dorcas Oduor amesema, kituo hicho kitaendesha sera na uvumbuzi unaotegemea ushahidi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive