Kephis yamewakamata washukiwa watatu

  • | Citizen TV
    279 views

    Maafisa Wa usalama Kwa ushirikiano Na maafisa Wa afya ya mimea - KEPHIS -wamewakamata washukiwa watatu wanaoaminika kufanya biashara haramu ya mbegu ghushi.