Msafara wa Mpesa Sokoni umesalia kaunti ya Nandi kwa siku ya pili

  • | Citizen TV
    63 views

    Msafara wa Mpesa sokoni umekita kambi kaunti ya nandi kwa siku ya pili leo. Sherehe ya maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za M-PESA nchini ikiwafikia wateja wa Safaricom Mashinani. Safaricom imeshirikiana na kampuni ya royal media services kufanikisha shughuli hii