KEPSHA inashinikiza tafsiri ya lugha za kiasili kwenye Google

  • | Citizen TV
    173 views

    Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi - KEPSHA- unasisitiza haja ya kutafsiri na kuorodhesha maneno ya lugha za kiasili katika utafsiri wa mtandano wa Google na kamusi ili kuimarisha matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa wanafunzi.