Kericho yaanza kuhamisha masoko kando ya barabara

  • | Citizen TV
    1,360 views

    Serikali ya kaunti ya kericho imeanza kutekeleza agizo la kuondoa masoko yaliyo karibu na barabara kuu. Zoezi hilo linatekelezwa baada ya ajali ya barabarani ya Londiani kuwaua watu 52. Wafanyibiashara hata hivyo wanadai zoezi hilo limeharakishwa na halina mpangilio.