13 May 2026 1:46 pm | Citizen TV 92 views Duration: 1:25 Wakazi wa vijiji vya Mikinduni,Witho,Juhudi na Salama katika eneo bunge la Lamu magharibi wamelalamikia kuhangaishwa na ndovu wanaokula mimea mashambani.