Skip to main content
Skip to main content

Kesi 5 za wanasiasa Afrika zilizochukua miaka mingi kuamuliwa

  • | BBC Swahili
    72,120 views
    Duration: 2:51
    Tangu mwaka 1945, viongozi na watu mashuhuri wa kisiasa wamefikishwa mbele ya mahakama na mahakama maalumu za ndani na za kimataifa katika nchi mbalimbali duniani. Baadhi yao wamehukumiwa, huku wengine wakifariki kabla kesi zao hazijakamilika. Hawa ni Wanasiasa wa 5 Afrika ambao kesi zao zilizochukua miaka mingi kuamuliwa. @mariammjahid anaelezea #bbcswahili #siasaafrika #uhaini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw