- 2,022 viewsDuration: 2:58Kesi dhidi ya Waziri wa zamani Raphael Tuju itaendelea licha ya amri ya mahakama kuu ya kuzuia kukamatwa na kuzuiliwa kwake na maafisa wa Polisi. Hakimu mkuu Stella Atambo alitoa muda wa wiki mbili kwa Tuju kupokea matibabu kabla ya kushtakiwa. Wakati huo huo, Mahakama imedinda kuipa idara ya upelelezi wa jinai, DCI idhini ya kufanya msako nyumbani kwa Tuju