Skip to main content
Skip to main content

Kesi kuhusu kifo cha Jeff Mwathi, aliyefariki 2023 baada ya kuanguka kutoka jengo, yaendelea

  • | KBC Video
    258 views
    Duration: 2:47
    Kesi kuhusu kifo cha Jeff Mwathi iliendelea leo katika mahakama ya Milimani ambapo afisa wa uchunguzi wa ushahidi alikuwa kizimbani na ushahidi wake kudadisiwa na upande mwengine. Mkuu wa polisi Francis Kieti anayedaiwa kujukumiwa kuendeleza uchunguzi wa ushahidi katika eneo la tukio wiki tatu baada ya kifo cha Jeff Mwathi, aliiambia mahakama kwamba huenda marehemu alitoka kupitia dirisha la orofa ya 10 ya jengo ambako mwili wake ulipatikana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive