- 476 viewsDuration: 1:50Uchunguzi kuhusu moto uliosababisha vifo vya wavulana 21 shuleni Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri mwaka uliopita umekosa Kuanza kama ulivyoratibiwa mahakamani nyeri, baada ya faili ya uchunguzi wa Polisi kuhusu moto huo kukosa kuwasilishwa.