22 Dec 2025 1:27 pm | Citizen TV 337 views Duration: 38s Mahakama ya Mazingira na Ardhi jijini Nairobi imekataa maombi ya kuzuia Wadhamini wa Msikiti wa Pumwani Riyadha kutumia kipande cha ardhi chenye utata.