13 Feb 2026 10:32 am | Citizen TV 187 views Duration: 1:14 Kesi dhidi ya ulaghai ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kusaga Sukari ya Nzoia, Godfrey Sifuna Wanyonyi, pamoja na maafisa wengine saba wa ngazi za juu wa kampuni hiyo, imehairishwa tena.