Skip to main content
Skip to main content

Khanga si vazi tu, ni sehemu ya utamaduni na maisha ya Wazanzibari

  • | BBC Swahili
    4,556 views
    Duration: 1:50
    Shani Haji anatueleza historia na umuhimu wa vazi la Khanga visiwani Zanzibar, jinsi linavyotumika katika matukio na nyanja mbalimbali za maisha, pamoja na ujumbe unaoweza kubebwa na maneno yaliyoandikwa kwenye Khanga. Je, wewe huwa unaitumiaje Khanga na ina maana gani zaidi kwenu? Tazama video kujua vizuri. 🎥: @frankmavura #khanga #zanzibar #tanzania #utamaduni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw