Skip to main content
Skip to main content

Kiambu: Polisi wachunguza kifo cha mwanaume ambaye mwili wake ulipatikana ndani ya lori

  • | NTV Video
    369 views
    Duration: 2:26
    Polisi katika Kaunti ya Kiambu wanachunguza kifo cha kutatanisha cha mwanaume wa umri wa kati ambaye mwili wake ulipatikana ndani ya lori la kukusanya taka mjini Kiambu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya