Skip to main content
Skip to main content

Kiambu: Vijana katika kijiji cha Igegania wafunzwa njia mbadala za kukabiliana na ukosefu wa ajira

  • | NTV Video
    273 views
    Duration: 3:02
    Katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la matumizi ya pombe haramu, mihadarati na uraibu wa pombe kwa jumla katika eneo la Mlima Kenya, mpango wa kijamii katika kijiji cha Igegania, eneo bunge la Gatundu Kaskazini, Kaunti ya Kiambu, umeamua kutumia mafunzo ya stadi za ujuzi kuwapa vijana njia mbadala za kukabiliana na ukosefu wa ajira, uraibu na kukata tamaa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya