- 2,975 viewsDuration: 3:27Kaunti ya Kiambu imekana madai kwamba kina mama na watoto wachanga wanapoteza maisha kutokana na mgomo wa madaktari unaoendelea. Kauli hii ya kaunti ya Kiambu ikijiri huku baadhi ya kina mama waliodai kuwapoteza watoto wakizungumzia masaibu yao