Skip to main content
Skip to main content

Kiangazi cha sababisha ugomvi wa wakulima na wafugaji katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    201 views
    Duration: 2:06
    Kutokana na kiangazi kinachoshuhudiwa katika kaunti ya Lamu, mgogoro kati ya wakulima na wafugaji umeibuka. Onyo kali limetolewa kwa wale wanaovunja sheria na kuleta uhasama kati ya pande hizi mbili katika maeneo ya Witu, Lamu.