25 Mar 2026 7:52 pm | Citizen TV 71 views Duration: 42s Kibera Soccer Women walipanda nafasi mbili kwenye jedwali la Ligi Kuu ya Wanawake baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gideon Starlets katika mechi ya pekee iliyochezwa Jumatano alasiri.