- 609 viewsDuration: 2:21Taasisi ya mtaala nchini imeondolea mbali hofu kuhusu uhaba wa vitabu kabla ya mpito wa wanafunzi wanaojiunga na sekondari ya Juu. Taasisi ya KICD ikikiri kuwa vitabu bado havijachapishwa kutokana na madeni ya wachapishaji vitabu, imeshikilia kuwa serikali iko kwenye mipangilio ya kutoa fedha hizo