- 5,812 viewsDuration: 24sFamilia moja ilisafiri likizo na kuacha kifaa cha kufutia vumbi kikiwa kinachaji ndani ya chumba cha kulala. Wakiwa hawapo, kifaa hicho kililipuka na kusababisha moto. Waliporudi nyumbani, walikuta chumba cha kulala kimeungua na kuharibika. Kwa bahati nzuri, moto haukusambaa kwenye vyumba vingine na mlango wa chumba hicho ulikuwa umefungwa. Hii inaonesha kuwa vifaa vya umeme vinavyoweza kupata joto au hitilafu havipaswi kuachwa vikiwa vinachaji wakati hakuna mtu nyumbani. #bbcswahili #uingereza #vifaavyaumeme Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw