Skip to main content
Skip to main content

Kikundi cha kina mama wenye biashara ya miraa waandamana katika mji wa Marsabit

  • | Citizen TV
    557 views
    Duration: 1:37
    Kikundi cha kina mama wanaojihusisha na biashara ya miraa waandamana katika mji wa Marsabit wakilalamikia kile wadaicho kuwa ni kutotekelezwa kwa ahadi walizopewa na Serikali ya Kaunti ya Marsabit.