Skip to main content
Skip to main content

Kilimo biashara | : Ubunifu Kajiado waibua matumaini kwa wafugaji wa maeneo kame

  • | Citizen TV
    256 views
    Jamii za wafugaji katika maeneo kame nchini zinaendelea kukabiliana na athari za hali ya anga zinazotishia maisha ya mifugo na mapato yao. Katika kaunti ya Kajiado, ubunifu unalenga kuboresha lishe na kusaidia jamii kulinda mifugo wao na riziki zao. Kwenye makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara,