- 248 viewsDuration: 3:20Mkulima mmoja katika Kaunti ya Kajiado amegeuza chumba kidogo kuwa sehemu ya kufanikisha biashara ya uyoga. Vera Mburugu anazalisha uyoga na pia kutengeneza kachiri kwa kutumia Uyoga uliokomaa kupita kiasi na ambao kawaida hutupwa. Ubunifu huo umemwezesha kupata faida maradufu kutokana na kilimo cha uyoga.