Kilimo Biashara| Wakulima Makueni wanahusika na uhifadhi wa maji

  • | Citizen TV
    253 views

    Wakulima kutoka kaunti ya Makueni wamegeukia mbinu za kisasa za kuhifadhi maji ili kuepuka hasara zinazosababishwa na athari za mabadiliko ya hali ya anga. mbinu hizi zimewawezesha kupanua kilimo chao na vile vile kuongeza mapato. Mengi zaidi ni kwenye makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara