- 682 viewsDuration: 2:00Familia ya watu wanne walioteketezwa ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Nyamakoroto huko Nyamira inapitia changamoto nyingi huku Watoto walioachwa Mayatima wakipitia wakati mgumu. Majirani wanaitaka idara ya usalama kuharakisha uchunguzi na kuwakamata wahusika ili wapate haki.