- 79,226 viewsDuration: 1:55Uvumi kuhusu kifo cha kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, unaendelea kujitokeza mara kwa mara. Hivi karibuni, alionekana kwenye picha zilizochapishwa na vyombo vya habari vya serikali akiwa na binti yake, saa chache baada ya madai yasiyothibitishwa kwamba alikuwa amefariki katika hospitali mjini Beijing, China. Lakini kwa nini uvumi huu hujirudia mara kwa mara? @frankmavura anaelezea #bbcswahili #kimjongun #koreakaskazini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw