- 4,439 viewsDuration: 3:12Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameendeleza madai yake kuhusu utendakazi wa bima ya afya ya SHA, huku akimhusisha waziri wa Afya Aden Duale na kampuni moja inayodaiwa kuendesha shughuli za SHA. Hata hivyo Duale amekana madai hayo, akimkashifu Gachagua kwa kile anachosema ni kueneza porojo zisizo na msingi wala ushahidi wowote. Seth Olale ana taarifa kamili.