- 4,212 viewsDuration: 2:53Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amewataka vijana wa Rika la Gen z Kujisajili kwa wingi ili kufanya mabadiliko kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Akizungumza kwenye mkutano wa kisiasa katika eneo la Wangige kaunti ya Kiambu, Gachagua aliwataka Gen Z kuwaadhibu waliowadhulumu vijana wakati wa maandamano ya miaka miwili iliyopita kwa kuwatimua kupitia uchaguzini.