Skip to main content
Skip to main content

Kindiki atetea uamuzi wa serikali kuuza hisa zake

  • | KBC Video
    61 views
    Duration: 3:20
    Naibu Rais Kithure Kindiki ametetea uamuzi wa serikali wa kusalimisha hisa zake katika kampuni zilizoorodheshwa ili kuchangisha pesa za miradi mikubwa ya miundombinu. Naibu rais anasema hatua hiyo itapunguza shinikizo la kuchukua mikopo au kuongeza ushuru ili kukidhi mahitaji ya bajeti. Kindiki pia alifichua kuwa sekta ya maji ni miongoni mwa miradi mikubwa itakayofadhiliwa kutoka kwa hazina ya miundombinu huku mipango ikiendelea ya kuimarisha upatikanaji wa maji hadi zaidi ya asilimia 76. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive