Skip to main content
Skip to main content

Kindiki na Gachagua wapimana ubabe Mbeere North

  • | Citizen TV
    3,828 views
    Duration: 3:00
    Ubabe wa Kisiasa Kati ya Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na mrithi wake Profesa Kithure Kindiki unaendelea kudhihirika Katika Eneo Bunge la Mbeere North huku Kampeni za uchaguzi mdogo zikiendelea kushika kasi katika eneo hilo. Wanasiasa hao wamekuwa wakifanya kampeni mashinani kutoka nyumba moja hadi nyingine na katika mikahawa ya Mbeere huku cheche za siasa pia zikitamba Katika mikutano yao.