- 3,046 viewsDuration: 6:38Zimesalia siku 10 wakazi wa eneo bunge la Ol Kalou kwenda katika chaguzi ndogo wa kumchagua mbunge wao mpya. Kinyang’anyiro hicho kimewavutia wawaniaji tisa ila ubabe ni kati ya chama cha UDA na DCP, na wiki hii vurugu kati ya kambi hizo mbili zimeshuhudiwa huko Ol Kalou. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya