Skip to main content
Skip to main content

Kiongozi wa DAP-K Wamalwa na Naibu wake Gorge Natembeya wamtetea sifuna

  • | Citizen TV
    5,155 views
    Duration: 56s
    Kiongozi wa Democratic Action Party-Kenya (DAP-K) Eugene Wamalwa pamoja na Naibu wake ambaye pia ni Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, wamekemea vikali hatua ya kamati ya ODM kumtema Edwin Sifuna, kama katibu mkuu , wakisema hatua hiyo si ya haki na kuwa inakiuka misingi ya demokrasia.Wakizungumza Kiminini Trans Nzoia, viongozi hao wanasema Sifuna aliondolewa kwa sababu ya kutoa maoni yake. Walionya kuwa vitendo vya aina hiyo vinaweza kuirudisha Kenya nyuma katika safari yake ya kuimarisha demokrasia.