- 34,788 viewsDuration: 1:20Richard Ravalomanana, aliyekuwa Rais wa Seneti ya Madagascar na jenerali mstaafu, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 cha kazi ngumu baada ya mahakama kumkuta na hatia ya kuhusika katika mauaji. Anadaiwa kuwa alihusika katika ukandamizaji mkali wa maandamano yaliyoongozwa na vijana, ambayo yalichangia kuanguka kwa serikali ya zamani 2025. Ravalomanana alikuwa pia mshirika wa karibu wa aliyekuwa Rais wa Madagascar, Andry Rajoelin @bosha_nyanje anaelezea kwa kina #bbcswahili #genzmadagascar #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw