- 36,584 viewsDuration: 2:32Ugunduzi wa dhahabu ulioripotiwa katika eneo la mbali la magharibi mwa Kenya umechochea wimbi la watu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi hiyo na nchi jirani ya Uganda. Mamia ya watu wamewasili katika kijiji cha Cheporor, Kaunti ya West Pokot, wakitumai kupata dhahabu. Hata hivyo, ongezeko hilo la ghafla la watu linaweka shinikizo kwa jamii yenye miundombinu duni na kuzua wasiwasi kuhusu usalama na usalama wa raia. Akisa Wandera anataarifa zaidi #bbcswahili #kenyadhahabu #madinikenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw