9 Dec 2025 1:53 pm | Citizen TV 573 views Duration: 2:06 Timu ya Inter Milan kutoka Jomvu ilibuka mshindi kwenye michuano ya finali ya Kombe la Seth Opolo baada ya kuibwaga Boda Boda Fc mabao 2-0, kwenye mechi iliyoandaliwa katika uwanja wa Jomvu Mikanjuni.