- 1,528 viewsDuration: 2:49Huku ulimwengu ukiendelea kushinikiza utumizi wa nishati safi, kisiwa cha Mageta kaunti ya Siaya, kimeibuka kama kielelezo, miaka miwili baada ya serikali kuanzisha mradi wa nishati ya jua. Wakazi zaidi ya elfu ishirini sasa wanafaidi kufuatia mwanga huo unaonogesha biashara, masomo, afya na maisha nyumbani .