- 416 viewsDuration: 3:01Kaunti ya Kitui imeandaa sherehe za mashujaa mwaka huu kwa maudhui ya kubadilisha maisha ya wakenya kupitia kawi endelevu. Hata hivyo, licha ya kaunti ya Kitui kufikia asilimia 34 ya maeneo yenye umeme, bado kuna baadhi ya vijiji ambavyo vimesalia gizani kwa kukosa umeme