28 Oct 2025 10:37 am | Citizen TV 176 views Duration: 2:02 Serikali kupitia taasisi ya utafiti wa Wanyamapori na viumbe vya baharini imependekeza kuongeza maeneo yanayolindwa katika eneo la Pwani ili kufikia kiwango hitajika cha asilimia 30.