Skip to main content
Skip to main content

Kituo cha watoto chafunguliwa katika hospitali ya Msambweni

  • | Citizen TV
    97 views
    Duration: 1:55
    Idadi ya watoto wachanga wanaopata huduma maalum katika hospiitali ya rufaa ya Msambweni kaunti ya Kwale imeongezaka kutoka 39 hadi 90 kila mwezi, baada ya kufunguliwa kwa kituo cha watoto kilicho na uwezo wa kuhifadhi watoto 55.