Skip to main content
Skip to main content

Kiwanda cha kemikali kinachotumia gesi asilia cha shika moto Urusi

  • | BBC Swahili
    37,870 views
    Duration: 27s
    Tazama namna wafanyakazi katika kiwanda cha kemikali kinachotumia gesi asilia nchini Urusi walipokimbia moto ambao umesababisha vifo vya watu wasiopungua saba na kujeruhi wengine 152. Watu sita kati ya waliofariki walikuwa wafanyakazi raia wa China. Kiwanda hicho cha Amur Gas Chemical Complex ambacho ni kipya kabisa ni mradi wa pamoja kati ya kampuni za China na Urusi. Kamati ya Uchunguzi ya Urusi inaendelea kuchunguza chanzo cha moto huo #bbcswahili #urusi #kiwandachagesi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw