- 1,664 viewsDuration: 3:20Mkanganyiko mkubwa umejitokeza miongoni mwa wazazi na wanafunzi baada ya kupokea matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kwanza wa kitaifa wa gredi ya tisa- KJSEA. Wazazi walifurka shule mbalimbali, siku moja baada ya matokeo ya mtihani huo kutafuta ufafanuzi kuhusu matokeo ya wana wao.