Skip to main content
Skip to main content

KJSEA yawaacha wengi njia panda; wizara yatoa ufafanuzi wa alama nane za juu

  • | Citizen TV
    4,363 views
    Duration: 2:58
    Matokeo ya kwanza ya KJSEA yamewaacha wengi katika njia panda kuhusu maana na hata kuelewa matokeo hayo. Waziri wa elimu Migos Ogamba alitaja ngazi tofauti za matokeo hayo ambayo yana jumla ya alama nane katika kila somo, ikiwa ndio alama ya juu zaidi.