- 1,000 viewsDuration: 2:36Matokeo ya kwanza ya KJSEA yamewaacha wengi katika njia panda kuhusu maana na hata kuelewa matokeo hayo. Waziri wa elimu Migos Ogamba alitaja ngazi tofauti za matokeo hayo ambayo yana jumla ya alama nane katika kila somo, ikiwa ndio alama ya juu zaidi