- 155 viewsDuration: 2:51Wanafunzi na wafanyakazi wa shule ya upili ya Moi Girls Isinya wamepata afueni kubwa baada ya ukarabati wa kisima na mfumo wa usambazaji maji kukamilika, hatua iliyokomesha changamoto ya ukosefu wa maji iliyodumu kwa miaka mingi. nancy Kering na taarifa hiyo