Skip to main content
Skip to main content

KMPDU yadai madaktari wa kigeni wananyanyaswa

  • | KBC Video
    634 views
    Duration: 2:59
    Chama cha madaktari, watalamu wa dawa na meno kimeelezea wasiwasi wao kuhusiana na kudhulumiwa kwa madaktari wa kigeni na baadhi ya hospitali za kibinafsi. Kulingana na KMPDU, wengi wa madaktari hao hawajaajiriwa kushughulikia uhaba wa wahudumu wa matibabu na wanalipwa mishahara ya kiwango cha chini ya ile iliyoainishwa na tume ya mishahara na marupurupu na mikataba ya maelewano. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive