16 Sep 2026 10:17 am | Citizen TV 71 views Duration: 1:48 Chama cha madaktari KMPDU tawi la ukambani kimekashifu mashambulizi dhidi ya wahudumu wa afya kama ilivyofanyika wakati wa mgomo wa wauguzi mjini wote kaunti ya makueni.