Skip to main content
Skip to main content

KNCHR yataka fidia ya KSh 3–4 milioni kwa waathiriwa 1,800 na kuwasilisha orodha kwa Rais

  • | Citizen TV
    470 views
    Duration: 2:57
    Tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu ya KNCHR inasema imethibitisha malalamishi kutoka kwa waathiriwa 1,800 wa visa vya ukiukaji wa haki za binadamu wakati wa maandamano. KNCHR ikipendekeza fidia ya shilingi milioni 3 kwa waliofariki na milioni 4 kwa waathiriwa wa dhuluma za kijinsia. Mwenyekiti wa tume hiyo Clair Ogangah amesema kuwa orodha hiyo itawasilishwa kwa rais William Ruto kabla ya kuanzishwa kwa zoezi la kuwafidia waathiriwa.