- 7,375 viewsDuration: 2:23Mwanamuziki mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Koffi Olomidé, anaendelea kudumisha nafasi yake katika tasnia ya muziki, akivutia mashabiki wa muda mrefu na pia wa kizazi kipya nchini DRC, ukanda wa Afrika Mashariki na sehemu nyingine za dunia. Amefanya muziki kwa zaidi ya miongo minne, akitoa nyimbo nyingi maarufu. Je, siri ya kuendelea kuwa kivutio ni nini na anazungumziaje upendo wa mashabiki wake? @roncliffeodit1 amefanya mahojiano maalum na Koffi Olomidé #bbcswahili #koffieolomide #drc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw