- 11,784 viewsDuration: 2:35Bingwa wa michuano ya Kombe la dunia wa mwaka 1998 na mwaka 2018 Ufaransa hii leo wanaminyana dhidi ya bingwa wa mwaka 2010 Uhispania katika nusu fainali ya kukata kwa shoka. Ni mpambano baina ya nyota wawili duniani Kylian Mbappe na Lamin Yamal, je nani ataibuka kidedea? #bbcswahili #ufaransa #hispania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw